OBAMA AMEKWISHATUA NCHINI TANZANIA
tangazo
Rais
wa 44 wa Marekanai, Barrack Obama, ametua nchini Tanzania kwa mara ya
kwanza muda huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo katika Uwanja wa Ndege
wa Julius Nyerere kwa ajili ya kumpokea mgeni wake huyo.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK