Home »
habari za kitaifa
» UPDATE: MAJAMBAZI YALIYOVAA SARE ZA POLISI YAVAMIA HABIB AFRIICAN BANK NA KUPORA MAMILIONI
UPDATE: MAJAMBAZI YALIYOVAA SARE ZA POLISI YAVAMIA HABIB AFRIICAN BANK NA KUPORA MAMILIONI
tangazo
Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi ambao wamevalia sare za Jeshi la Polisi
wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha
Fedha.
Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa
tukio hilo..
Habari zaidi baadae.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK