Padri wa kanisa KATOLIKI amwagiwa tindikali huko Zanzibar
tangazo
Padre
Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar
amemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege,
Zanziabar na kusababishiwa maumivu makali sana.
Habari zaidi zitawajia baadaye.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK