Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Toka Maisha ya UTEJA mpaka kutembelea gari...Hili ni gari jipya alilonunua RAY C...Anasema huo ni mwanzo tu

Toka Maisha ya UTEJA mpaka kutembelea gari...Hili ni gari jipya alilonunua RAY C...Anasema huo ni mwanzo tu

tangazo

STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’  ameamua kuianika  gari  yake  ambayo anatembelea kwa sasa ...

Gari  hilo  ni aina ya Jaguar ambalo namba zake za usajili hazionekani vizuri ila mwishoni zinasomeka T…CHL,huku akiandika kwenye instragram kuwa… Jaguar don't care...CHL means Chalamila Family..... 

Pongezi  za  kutosha  zikufikie  Ray C  popote  ulipo. Huo  ni  mwanzo  mzuri  baada  ya  mateso  ya  madawa  ya  kulevya  yaliyokufanya  uwe  teja
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger