Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » "Huddah ni ‘mali ya serikali’, amelala na karibu dunia nzima....Mwanaume gani atampenda mwanamke kama huyo?"..Prezzo

"Huddah ni ‘mali ya serikali’, amelala na karibu dunia nzima....Mwanaume gani atampenda mwanamke kama huyo?"..Prezzo

tangazo
Baada ya kupondwa na Huddah Monroe kuwa amefulia, mfalme wa bling, Rapcellency Prezzo ameamua kujibu mashambulizi na kusema uhusiano wake na Huddah ulikuwa wa kufanya mapenzi tu, basi.

Kwenye interview na Heads Up, Prezzo aliweka wazi kuwa ni kweli aliwahi kuwa na uhusiano wa muda mfupi na aliyekuwa mwakilishi huyo wa Kenya kwenye Big Brother Africa mwaka huu.
 
“Tuliwahi kukutana kama mara tatu hivi nadhani alipenda alichokipata. Alinogewa,” Prezzo aliimbia Heads Up.

Anadai kuwa Huddah amechukia kwasababu hakutaka kuendelea naye.
 
“Huddah ni kama mali ya serikali. Amelala na karibu dunia nzima. Unadhani rais anaweza kutulia na mwanamke kama huyo,”alihoji Prezzo. Alidai pia kuwa Huddah amekuwa akiwasumbua wanawake wote wengine aliowahi kuwa na uhusiano nao.

“Sijawahi kumjibu, lakini utagundua kuwa alimshambulia Goldie na Diva wa Tanzania.”
 
Wakati huo huo, Huddah amekuwa akitweet majibu ya kile alichokisema Prezzo.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger