Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » KIJANA ACHINJWA KAMA KUKU KISHA WAUAJI WAONDOKA NA KICHWA CHAKE HUKO RUKWA

KIJANA ACHINJWA KAMA KUKU KISHA WAUAJI WAONDOKA NA KICHWA CHAKE HUKO RUKWA

tangazo
 
MATUKIO ya mauaji ya kikatili yameendelea kushamiri mkoani Rukwa, baada ya watu wasiojulikana kumuua kikatili mtu mmoja kwa kumchinja na kutokomea kusikojulikana na kichwa cha mtu huyo.

Baadhi ya askari polisi wakitelemsha maiti ya mtu ambaye ameuawa kwa kukatwa kichwa na watu kutoweka na kichwa chake usiku wa kuamkia jana kwa ajili ya kuhifadhi katika hchumba cha kuhifadhia maiti kwenye hospitali ya mkoa iliyopo mjini Sumbawanga.
------------------------------

Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, watu hao baada ya kufanya mauaji hayo walikwenda kumtupa kwenye eneo hilo ambapo asubuhi ya kuamkia jana  kiwiliwili chake kilibainika kuwepo hapo bila kichwa kwani waliondoka nacho.
 
Kwa upande wake, Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema kuwa polisi inaendelea kuwasaka watu waliohusika na tukio hilo ili hatua ziweze kuchukuliwa
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger