Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Lowassa aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya awali ya kanisa la KKKT, Kijitonyama....Milioni 600 zapatikana

Lowassa aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya awali ya kanisa la KKKT, Kijitonyama....Milioni 600 zapatikana

tangazo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa hotuba yake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,muda mfupi kabla ya kuanza kwa Harambee Maalum ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali katika kanisa hiyo.Ambapo zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga akimuunga Mkono Mgeni Rasmi,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa katika Harambee ya Uchangishaji Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali ya Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,iliyofanyika leo Novemba 10,2013,jijini Dar es Salaam.zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo.
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Idd Azzan akimuunga Mkono Mgeni Rasmi,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa katika Harambee ya Uchangishaji Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali ya Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,iliyofanyika leo Novemba 10,2013,jijini Dar es Salaam.zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimkabidhi Muigizaji wa Filamu Nchini,Jacqueline Wolper moja ya bidhaa zilizokuwa zikinadiwa kwenye Harambee ya Uchangiaji wa Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,Jijini Dar es Salaam.zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger