Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Rais wetu mnyenyekevu akiongea na mlemavu wakati wa uzinduzi rasimi wa mkoa wa Geita jana mchana.

Rais wetu mnyenyekevu akiongea na mlemavu wakati wa uzinduzi rasimi wa mkoa wa Geita jana mchana.

tangazo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mlemavu Debile James kutoka katika kijiji cha Bulega wilayani Bukombe Mkoani Geita muda mfupi baada ya kufungua shule ya msingi Ng’anzo iliyojengwa na kampuni ya madini ya Nsagali yenye makao yake wilayani humo.Rais Kikwete aliahidi kumpatia Bajaji Mlemavu huyo ili aweze kumudu shughuli zake za kujitafutia kipato. Rais Kikwete yupo katika ziara ya siku tano mkoa mpya wa Geita kukagua na kuzindua shughuli za maendeleo.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuashiria kuzindua Mkoa mpya wa Geita jana  mchana.Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia elimu Kassim Majaliwa na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Magalula Said Magalula.
Wazee wa Mkoa wa Geita wakimvisha Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete vazi la kijadi wakati wa uzinduzi wa Mkoa Mpya wa Geita Jumamosi mchana.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger