Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Ridhiwani Kikwete alaani siasa za Chuki n Ukanda zilizowatoa madarakani Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo.

Ridhiwani Kikwete alaani siasa za Chuki n Ukanda zilizowatoa madarakani Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo.

tangazo

Baadhi  ya watu maarufu  nchini akiwemo  mtoto wa Rais Kikwete, Ridhiwan wamezipokea taarifa za kuvuliwa wadhifa wa unaibu Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa Zitto Kabwe kwa mitazamo tofauti.
 
Zitto alivuliwa uongozi wa Naibu Katibu Mkuu Taifa na Naibu Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa tuhuma za kukisaliti chama hicho.
  
Haya  ni maoni  ya  Ridhiwani  Kikwete  aliyoiweka  katika ukurasa  wake  wa  facebook na  twitter kuhusiana  na  sakata  hilo:
 
Naendelea kujifunza matunda ya Siasa za Chuki na Ukanda zinavyoumiza siasa za Tanzania. Mungu anatuasa kupitia vitabu vitakatifu kuwa ” ili kuepusha balaa dogo kutokea, basi liwe balaa kubwa zaidi ya hilo.”. Imani kuwa aliloandika limetimia…

  
Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari  kesho Jumapili  kuzungumzia hatua hiyo.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger