Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Wabongo watengeneza Picha chafu za mbunge Godbless Lema akifanya mapenzi na mwanaume mwenzake...Yeye na mkewe wakanusha na kutoa onyo

Wabongo watengeneza Picha chafu za mbunge Godbless Lema akifanya mapenzi na mwanaume mwenzake...Yeye na mkewe wakanusha na kutoa onyo

tangazo

Mbunge wa Arusha mjini Godbles amekanusha  na kukemea vikali baadhi ya watu wanaomdhalilisha kwenye mitandao ya kijamii kwa kutengeneza na kusambaza picha chafu ambazo zinaonesha udhalilishaji mkubwa kwa mbunge na hata kwa mtu wa kawaida.
 
Akizungumza  na vyombo vya habari ofisini kwake jijini Arusha mbunge Lema amesema picha hizo za aibu zimetengezwa na kusambazwa na mtu ama watu wenye lengo la kumdhalilisha na tayari amekwishaanza hatua ya kuchukua hatua za  kufikisha suala hilo kwenye uongozi wa bunge akiwemo Spika Anne Makinda, naibu spika Job Ndugai pamoja na katibu wa bunge.
 
Amesema ameamua kutoa taarifa hiyo kwenye vyombo vya habari kwa sababu vitu vikishawekwa kwenye mitandao ya kijamii siyo siri tena hivyo anategemea bunge litaona wajibu na ni jinsi gani heshima ya mbunge imeshushwa na kudhalilisha kwa maksudi bila kujali utu na heshima ya mbunge.
 
MSIKILIZE HAPA CHINI LEMA AKIZUNGUMZIA ALIVYODHALILISHWA

Mbunge Lema amefafanua kwamba picha hizo hazijatengenezwa na mbunge wa Iramba Muhigulu Nchemba kama baadhi ya watu walivyomfikishia taarifa kwani akiwa bungeni mjini Dodoma alizungumza na Nchemba na kubaini kwamba alikuwa hajaziona picha hizo hivyo hakuwa anajua lolote juu ya suala hilo. 


 MSIKILIZE LEMA HAPA AKISEMA NCHEMBA HAKUHUSKA KWENYE PICHA 




MSIKILIZE HAPA CHINI MKE WA LEMA
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger