Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Yule Shabiki wa YANGA, 'bingwa wa kulia machozi' ajitosa Bongo Movies, apewa "scene" ya kulia, Tazama hapa anavyomwaga choz

Yule Shabiki wa YANGA, 'bingwa wa kulia machozi' ajitosa Bongo Movies, apewa "scene" ya kulia, Tazama hapa anavyomwaga choz

tangazo

Shabiki maarufu wa Yanga Steven amejitosa katika fani ya filamu ambapo ataanza kuonekana karibuni akiwa katika muvi inayoandaliwa na Dr Cheni itayokwenda kwa jina la 'Nimekubali Kuolewa'. 
 
Steven alijipatia umaarufu ghafla baada ya mitandao kurusha video inayomwonesha analia baada ya timu ya Yanga anayoishabikia kufungwa. 

Kwa upande wa Dr Cheni ambaye ni msanii aliyeanza fani hii takriban miaka 15 iliyopita, anakuja kiviungine baada ya kukaa kando kwa mwaka mmoja.

Katika filamu hii pia kuna nyota kutoka China ambaye anakuwa Mchina wa kwanza kuigiza kwenye Bongo Movie.
 
Tazama moja ya scene ya filamu hiyo jamaa akimwaga chozi kama kawaida


 
-Bongo Movies
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger