Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Mwanamke auawa kikatili kwa kukatwa panga shingoni huko Kahama wakimtuhumu

Mwanamke auawa kikatili kwa kukatwa panga shingoni huko Kahama wakimtuhumu

tangazo
 
Mama mmoja aliyetajwa kwa jina la Lucia Mgonga (55) mkazi wa kijiji cha Mega wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuwawa kwa kukatwa Mapanga na watu wasiojulikana.

Tukio hilo la kutisha limetokea Usiku wa kuamkia juzi majira ya saa mbili usiku wakati bibi huyo akiwa na wajukuu zake wakipata chakula cha jioni.
Marehemu amepoteza maisha baada ya kukatwa panga sehemu ya bega lake la kushoto na Shingoni.Sababu ya mauwaji hayo inaelezwa kuwa ni imani za kishirikina.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger