Clement Mabina enzi za uhai wake.
Taarifa zilizotufikia ni kwamba, Mwenyekiti wa
zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mwanza, Clement Mabina,
ameuawa mchana huu Kisesa, Mwanza baada ya kumpiga risasi raia mmoja na
yeye kuuawa katika ugomvi wa mashamba!
Chanzo; Global Publishers
tangazo