Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , , » NEY WA MITEGO ASHUSHA MVUA YA MATUSI YA NGUONI KWA NIKKI MBISHI

NEY WA MITEGO ASHUSHA MVUA YA MATUSI YA NGUONI KWA NIKKI MBISHI

tangazo

Katika kile kinachoonesha bifu ya Ney wa Mitego na Nikki Mbishi kufikia pabaya, Ney amemmwagia matusi ya nguoni rapper huyo wa ‘Kill Yo Self’ kupitia BBM.

 Bifu la wasanii hao lilianza baada ya Nikki kudaiwa kurekodi wimbo uitwao Ney wa Mitego ambayo anamzungumzia msichana mwenye jina hilo na ambaye ana tabia za ukicheche.



“Nikki Mbishi acha us***ge k***m*yako utaf***a siku si nyingi kwa ambao huyu shoga ni rafiki yao BBM mtajua kwanini naongea hivi. Serious Nikki utaf**ika muda si mrefu unatambia za kike we m***nge nimekuvumilia sana kumbe una tabia sawa na dada yako …!! Jipange,” ameandika Ney.



TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger