Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » MPENZI WANGU AKITONGOZWA HUNIAMBIA NA KU "FOWARD" MESSAGE KWANGU...JE HII NI SAHIHI?

MPENZI WANGU AKITONGOZWA HUNIAMBIA NA KU "FOWARD" MESSAGE KWANGU...JE HII NI SAHIHI?

tangazo

-Wadau  Naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu.

 -Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:

 - kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu.."eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka nini?....akaniambia eti anakuja huku[alipo huyu demu] mm nikamwambia nasafiri, sitakuwepo"

  -Pili, jana kaniambia "mpenzi kuna sms zinachekesha...ngoja nikuforwadie...sms 1 ilisomeka "nakuhitaji"....


Sms ya Pili ipo hivi.."leo umependezaa, nataka nije kwako"..hizi sms anadai katumiwa na mshikaji anayeonyesha kumtaka kimapenzi

    -Hapa najiuliza ana maana gani kwa haya?


Udaku specially


TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger