tangazo
MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na
muimba Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ hivi karibuni
waliawaacha midomo wazi wasafiri ndani ya ndege kufuatia tukio lao la
kufanya ‘malavidavi’ bila kujali.
Akimsimulia mwandishi wetu, shuhuda wetu aliyekuwemo ndani ya ndege hiyo alisema aliwaona Shilole na Q-Chillah wakiwa katika ‘mahaba’ ambapo mara kwa mara walikuwa wakipigana mabusu kitendo kilichowafanya abiria wengine kuwakodolea macho yenye kuwashangaa.
Aliongeza kuwa, ilifika mahali baadhi ya abiria walitaka kuwafungukia ukweli kwamba wanachokifanya si adabu hasa ikizingatiwa kuwa wao wana majina makubwa katika burudani za Bongo.
Kufuatia taarifa hizo na kudakwa kwa picha zao, Amani liliwasaka watuhumiwa hao kila mmoja kwa wakati wake ili kusikia kutoka kwao juu ya kufanya madudu ndani ya ‘pipa’.
“Jamani kwani mabusu yana shida gani, yule (Q-Chillah) ni mwanamuziki mwenzangu na tumezoeana. Yale yalikuwa ni mambo ya kawaida tu na utani, si vinginevyo,” alisema Shilole.
Q-Chillah simu yake ya mkononi ilikuwa ikiita muda mwingi bila kupokelewa, lakini baadhi ya watu wake wa karibu walisema mwanamuziki huyo hana kawaida ya kupokea simu kama namba hazijui.
TUPE MAONI YAKO

Aibu
hiyo ilitokea Machi 29, mwaka huu ambayo ilikuwa Ijumaa Kuu ambapo
wasanii hao walikuwa wakitoka Dar kwenda Mwanza kwa ajili ya kufanya
shoo siku ya Pasaka.
Akimsimulia mwandishi wetu, shuhuda wetu aliyekuwemo ndani ya ndege hiyo alisema aliwaona Shilole na Q-Chillah wakiwa katika ‘mahaba’ ambapo mara kwa mara walikuwa wakipigana mabusu kitendo kilichowafanya abiria wengine kuwakodolea macho yenye kuwashangaa.
“Tunakubaliana
na kazi zao, lakini kusema ule ukweli, sisi abiria wenzao tulishangaa
sana, unajua kuonesha vitendo vya mahaba ndani ya ndege si utamaduni
wetu Wabongo,” alisema abiria huyo aliyekuwa akienda Mwanza kikazi.
Aliongeza kuwa, ilifika mahali baadhi ya abiria walitaka kuwafungukia ukweli kwamba wanachokifanya si adabu hasa ikizingatiwa kuwa wao wana majina makubwa katika burudani za Bongo.
Kufuatia taarifa hizo na kudakwa kwa picha zao, Amani liliwasaka watuhumiwa hao kila mmoja kwa wakati wake ili kusikia kutoka kwao juu ya kufanya madudu ndani ya ‘pipa’.
Kwa
upande wake, Shilole alisema kuwa mabusu ni vitu vya kawaida kwake
ikizingatiwa Q-Chillah ni mwanamuziki mwenzake kwa hiyo hakuna tatizo.