tangazo

Mambo yanayofanywa na kundi la kanga moja ni ya aibu sana kwa sababu ni uchafu unaotendeka mbele ya watoto......
Mwanamke
hujifunga kanga moja tu bila chupi wala chochote ndani.Baada
ya hapo humwagiwa maji kitu ambacho huanika kila kitu
hadharani......
Kama haitoshi, akimwagiwa maji, wenzie huanza kumtia chupa matakoni hali inayoashiria VITENDO VYA ULAWITI......
Tunawafundisha nini watoto???..Tunaifundisha nini jamii na kizazi cha kesho????