Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » "SERUKAMBA AKIMKOJOLEA SPIKA WA BUNGE HUKU WABUNGE WENGINE WAKITANDIKA BIA"...HII NI KATUNI ILIYOCHORWA NA WAKENYA

"SERUKAMBA AKIMKOJOLEA SPIKA WA BUNGE HUKU WABUNGE WENGINE WAKITANDIKA BIA"...HII NI KATUNI ILIYOCHORWA NA WAKENYA

tangazo

Hii inadhihirisha  ni  jinsi  gani  bunge  letu  haliheshimiwi  na  mataifa  mengine  kwa  sasa.....

Kushuka  kwa  heshima  ya  bunge  kulikuja  baada  ya  Mh. serukamba  kutukana  tusi  la  nguoni   " Come on  FU* K YOU  " bila  kuchukuliwa  hatua  yoyote.....

Katuni  hii  imechorwa  na  mkenya  ambaye  ni  mchora  maaarufu  wa  katuni  nyingi  na  kusambaa  katika  mitandao  mbalimbali.......

Katuni  hii  inamuonesha  Serukamba  akimkojolea Spika  huku  akichekelea  na  wabunge  wengine  wakitandika  bia


TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger