Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » UPDATE: MATOKEO YOTE YA KIDATO CHA NNE 2012 YAMEFUTWA NA YATASAHIHISHWA UPYA

UPDATE: MATOKEO YOTE YA KIDATO CHA NNE 2012 YAMEFUTWA NA YATASAHIHISHWA UPYA

tangazo

Habari kutoka bungeni ni kwamba matokeo yote ya  kidato  cha  nne yamefutwa na yatasahihishwa upya( Re -grading)  haraka iwezekanavyo..
 
Taarifa ya tume iliyoundwa na waziri mkuu kuchunguza sababu za kufeli vibaya kwa watahiniwa wa kidato  cha nne  imesomwa  bungeni  leo  na  mh.LUKUVI. 

LUKUVI amesema sababu zilizosababisha  wanafunzi  wafeli   ni upungufu wa waalimu, mazingira magumu a kufundishia, idadi kubwa ya shule za sekondari iliyopelekea idadi kubwa ya watahiniwa  na  utaratibu  mbovu  wa  baraza  la  mitihani  uliotumika  bila  kuwashirikisha  wadau  wa  elimu


Mh.  LUKUVI amesema kuwa NECTA haikufuata vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi kwa kufuata STANDARDIZATIONS na CONTINOUS ASSESSMENTS. ...

Hivyo  basi, matokeo  hayo  YAMEFUTWA  na    YATAFANYIWA RE-GRADING


 

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger