Home »
habari za kitaifa
» MTU MMOJA AFARIKI KATIKA AJALI YA GARI....DEREVA ATIMUA MBIO
MTU MMOJA AFARIKI KATIKA AJALI YA GARI....DEREVA ATIMUA MBIO
tangazo
Mtu mmoja amefariki dunia na waengine kumi kujeruhiwa vibaya baada ya
gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Hiace lilikuwa linatoka
Arusha kwenda Karatu kupasuka gurudumu la nyuma na kupinduka katika
kijiji cha Silonga wilayani Monduli.
TUPE MAONI YAKO KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.