Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , , » LADY JAYDEE AMTUKANA MWANA FA KWA KUMUITA " MWANA FAtuma" HUKU AKIMTANDIKA VIJEMBE KWA KUUZA SURA JANA

LADY JAYDEE AMTUKANA MWANA FA KWA KUMUITA " MWANA FAtuma" HUKU AKIMTANDIKA VIJEMBE KWA KUUZA SURA JANA

tangazo
Lady Jaydee amemshambulia vibaya MwanaFA. Chanzo cha kuanza kumpa makavu Live ni pale MwanaFA alipo-Retweet post ya shabiki yake mmoja ambaye aliikejeli Show ya Jide kuwa ni Fundraising, ambapo MwanaFA aliongezea neno ‘Daaaamnnn’ kwenye Post hiyo.
 
Mambo yalizidi kuwa mabaya baada ya MwanaFA ku-Retweet post ya shabiki wake mwingine aliyedai kwamba Lady Jaydee anawalipa watu buku buku ili wamponde MwanaFA.

 Hapo ndipo mwanadada Lady Jaydee uzalendo ukamshinda baada ya kutoa warning iliyopuuziwa, akaanza kumchana MwanaFA bila woga lakini MwanaFA hakuweza kujibu kitu zaidi ya ku-Retweet posts za mashabiki wake wanaomponda Lady Jaydee na team yake. 
ILI  kuepuka kusumbuliwa na mahakama , Jide alitumia ‘MwanaFAtuma’ akimlenga MwanaFA.

















TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger