Home »
habari za kitaifa
» MUONEKANO WA JUKWAA NA SEHEMU YA KUUAGA MWILI WA ALBERT NGWEA NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS CLUB
MUONEKANO WA JUKWAA NA SEHEMU YA KUUAGA MWILI WA ALBERT NGWEA NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS CLUB
tangazo
Sehemu hii ndipo mwili wa marehemu Albert Mangweha utawekwa hapa tayari ya kuanza zoezi zima la kumuaga.
Kwa
wale mashabiki wa EAST Cost nadhani watakuwa wanamfahamu msanii huyu
anajulikana kwa jina la PUFF G nae amekuja japo apate picha ya ukumbusho
kidogo maana baadae patakuwa na msongamano wa watu wengi sana.
DjChoka
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK