Home »
habari za kitaifa
» "POLISI WATAENDELEA KUWAPIGA WALETA VURUGU HAPA NCHINI NA NINASEMA WAWAPIGE ZAIDA NA ZAIDA"... WAZIRI MKUU
"POLISI WATAENDELEA KUWAPIGA WALETA VURUGU HAPA NCHINI NA NINASEMA WAWAPIGE ZAIDA NA ZAIDA"... WAZIRI MKUU
tangazo
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda amesema jeshi la polisi litaendelea kuwakabili na
kuwadhibiti ikiwa ni pamoja na kupiga wale wote wanaokiuka amri halali
inayotolewa katika kulinda amani ya nchi iliyopo ...
Mhe Pinda amesema
hayo bungeni mjini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali kwa waziri mkuu
akijibu swali aliloulizwa juu ya matukio ya polisi kudaiwa kupiga
wananchi katika matukio ya hivi karibuni
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK