Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » PREZZO AMPIGANIA HUDDAH ABAKI MJENGONI..... VIDEO FUPI AKIWA BAFUNI NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

PREZZO AMPIGANIA HUDDAH ABAKI MJENGONI..... VIDEO FUPI AKIWA BAFUNI NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

tangazo


The Prezidaa CMB Prezzo ambae alikuwa mshiriki wa shindano la Big Brother Africa msimu uliopita amejiunga na project ya watu wanaompigia debe the boss Lady toka Kenya Huddah Monroe ambae alikuwa mpenzi wake ili asitoke kwenye jumba hilo wiki hii.

Prezzo ameitumia akaunti yake ya twitter kujiunga na kile kinachofahamika kama #ProjectSaveHuddahMonroe na yeye ameandika tweet inayosomeka, “ SMS the Word VOTE HUDDAH to 22626 #ProjectSaveHuddahMonroe.”

Akatupia tweet nyingine kuwahamasisha zaidi wakenya wawe na khari zaidi, “That’s the spirit 254#LetsGo!RT@MilGoddie: Its HUDDAH or Nothing @AMB Prezzo_”

Inawezekana pia Prezzo akawa anarudisha fadhira kwa X girlfriend wake huyo kwa kuwa alimsaidia pia wakati akiwa katika jumba hilo kuongeza kura za kumuweka katika nafasi nzuri zaidi. 
 
Huddah, Selly, Denzel, Betty na Natasha wako katika hatari ya kuondoka katika jumba hilo wiki hii, kura za watazamaji ndizo zitakazomuokoa mshiriki ama zisipotosha anaondoka.
video bafuni ndani ya jumba la big brother

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger