Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » MWANAUME APOTEZA UUME WAKE KWA SIKU TATU JIJINI DAR....( VIDEO)

MWANAUME APOTEZA UUME WAKE KWA SIKU TATU JIJINI DAR....( VIDEO)

tangazo

MWANAUME mmoja aliyejulikana kwa jina la Elias Peter (28) mkazi wa Mwananyamala Msisiri, Dar hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu baada ya uume wake kutoweka kwa siku tatu na kurudi ambao hauna nguvu.

Akizungumza na mwandishi wetu, Elias alisema siku ya tukio alipewa sigara na kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Saleh Mtima alipomaliza kuvuta alianza kuhisi baridi kali ghafla akajishtukia uume haupo amebaki ‘flat’.
 

Baada ya hapo alikaa siku tatu bila uume kurudi ndipo akaamua kwenda kumueleza na kumuomba ushauri mzee mmoja anayeheshimika sana eneo hilo anayejulikana kwa jina la Mfinanga Kishegwe  akamweleza kuwa  kilichompata ni mashetani ila uume utarudi.
 


“Baada ya kusubiri kwa siku tatu nilienda kuomba ushauri kwa mzee Mfinanga ambaye aliniambia utarudi na baada ya muda kweli ulirudi lakini ulikuwa mdogo kama wa mtoto na haukuwa na nguvu ,”alisema Elias.

TAZAMA  VIDEO  HAPO  CHINI

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger