tangazo

Leo asubuhi tulitoa swali moja la kawaida kwa wasomaji wetu na kuahidi kutoa zawadi ya vocha ya sh. 1000 kwa mshindi mmoja wa kwanza....
Swali hilo liliambatanishwa na picha moja ya mdada na mkaka wakiwa kimahaba na kisha kuhoji ni nani KAJIKOJOLEA....
Katika picha hiyo, msomaji alitakiwa kuitazama kwa makini na kisha kutoa majibu yake kwa njia ya maoni (comment)
Wafuatao ni washindi wetu wa leo:
1.Zainab Othman- kupitia www. freebongo.blogspot.com
2.Nicholaus Luhindila- kupitia www.mpekuzihuru.com
3. Irene Sozigwa- kupitia ukurasa wetu wa faceook ujulikanao kwa jina la MPEKUZI BLOG
JINSI YA KUPATA VOCHA ZENU:
Ingia katika ukurasa wetu wa facebook na kisha tutumie mtandao unaotumia ili tukutumie namba za vocha yako ambayo utaingiza mwenyewe.
Mfano: TIGO, AIRTEL au VODACOM.
Bofya hapo juu na kisha tutumie aina ya VOCHA uitakayo ( hii ni kwa ajili ya washindi pekee)