Home »
habari za kitaifa
» Huyu ndo binti mrembo aliyejishindia taji la Redds Miss Tanzania Personality-2013
Huyu ndo binti mrembo aliyejishindia taji la Redds Miss Tanzania Personality-2013
tangazo
Mrembo
Severina Lwinga juzi alifanikiwa kuwa mrembo wa tano kuingia nusu
fainali ya shindano la Redd's Miss Tanzania 2013 baada ya kutwaa taji la
Miss Personality 2013. Mshindi wa taji hilo anapatikana kwa kupigigiwa
kura na warembo wenzake.
Severina ameungana na Miss
Tanzania Photogenic 2013, Happiness Watimanywa, Miss Tanzania Talent
2013, Prisca Clement, Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface na
Miss Tanzania Sports Woman, Clara Bayo kuingia katika nusu fainali ya
Miss Tanzania ambayo itafanyika Jumamosi hii ukumbi wa Mlimani City.
Shindano hilo lilifanyika Mgahawa wa AK'S ulipo mtaa wa Samora.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK