Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Utafiti: Simu za kupapasa ( SMART PHONE ) zina uchafu mwingi kuliko CHOO.

Utafiti: Simu za kupapasa ( SMART PHONE ) zina uchafu mwingi kuliko CHOO.

tangazo
 
Simu  ya  kupapasa.
 Watafiti wamebaini kuwa baadhi ya vifaa vya kisasa vya mawasiliano vinavyotumika kwa kupapasa kama tablet komputa na smart-phones huwa na vijidudu vingi vya uchafu kuliko hata choo.


Bakteria hao huachwa na watumiaji wavifaa hivyo kwa kupapasa vioo vya vifaa kama Apple iPads na Samsung Galaxy tablets kutokana na kutumia bila ya kuosha mikono.
Choo


Moja ya tablet iliyofanyiwa vipimo na taasisi ya kulinda mtumiaji ya Which? ilikutwa na baktaria aina ya staphylococcus aureus ambao hutoa sumu ambayo hupelekea mtu kutapika.
USHAURI:
Kuwa  na  smart phones  ni  sawa  na  kutembea  na  choo  mkononi (  kwa  mujibu  wa  utafiti  huu) ...Tuwe  waangalifu ili  simu  hizi  zisiguswe  na  watoto  wetu.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger