Home »
habari za kitaifa
» Video ya wabunge wa Upinzani wakitoka NJE ya Bunge baada ya Freeman Mbowe kutimuliwa leo mchana.
Video ya wabunge wa Upinzani wakitoka NJE ya Bunge baada ya Freeman Mbowe kutimuliwa leo mchana.
tangazo
Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe alitolewa nje ya
Bunge leo mchana baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae
na Mh Mbowe kutokutii amri hiyo. Mh ngudai aliamuru askari wa Bunge
kumtoa nje, hata hivyo baadaye wabunge karibu wote wa upinzani walitoka
pia isipokuwa Mh. Augustin Mrema wa TLP. TAZAMA VIDEO YA TUKIO ZIMA HAPO CHINI.
TUPE MAONI YAKO KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.