Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Johari akimbilia Canada baada ya kupata dume la kizungu.... Irene uwoya amsihi amnga'ang'anie ili amuoe

Johari akimbilia Canada baada ya kupata dume la kizungu.... Irene uwoya amsihi amnga'ang'anie ili amuoe

tangazo

Msanii  maarufu kwa  jina  la   Blandina Chagula(Johari) ametimkia nchini Canada kumfuata mpenzi wake  wa kizungu  ambaye amemwalika akaone na kusalimia ukweni... 
 
Muda  mfupi  baada  ya  Johari  kutimkia  Canada, Irene Uwoya ambaye ni rafiki wa karibu na Johari alitundika  picha  ya  johari  katika  mtandao  wake yenye ujumbe  mzito  wa  kumtaka  aache  mapepe  kwa  kuwa  wazungu  hawapendi  kuchezewa  kimapenzi  kama  wanavyochezeana   bongo  movie....
 
"Yaani wewe ni rafiki yangu kipenzi...bahati haiji mara mbili....sasa ukifika Canada usinisahau ....maisha ndo hayo...wazungu hawataki uswahili tuliaaa".Aliandika  Irene  Uwoya

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger