Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Rais Kikwete atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Dr. Mvungi

Rais Kikwete atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Dr. Mvungi

tangazo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kiongozi mwandamizi wa chama cha NCCR Mageuzi, marehemu Dr. Sengondo Mvungi huko Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam leo mchana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi.(picha na Freddy Maro)
Credit: Michuzi
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger