Home »
habari za kitaifa
» Tattoo na muonekano mpya wa Ray, vyawachefua mashabiki wake....wengi wasema amechemka.
Tattoo na muonekano mpya wa Ray, vyawachefua mashabiki wake....wengi wasema amechemka.
tangazo
Huu ni muonekano mpya wa Vicent Kigosi ambao ni moja ya maandalizi ya movie yake mpya ...
Ni muonekano ambao kwa kiasi flani umewachefua mashabiki wake ambao dakika chache baada ya picha hizo kuwekwa walijimwaga kwa comment ambazo hazikumuunga mkono kwa asilimia zote.
“Je nageukia bongoflava au kuna nini kinakuja?”. Aliadika Ray kwenye moja ya picha zake.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK