RUFAA DHIDI YA ZOMBE YATUPILIWA MBALI NA MAHAKAMA YA RUFAA
tangazo
MAHAKAMA ya Rufaa nchini leo
imefuta rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Dk. Eliezer
Feleshi, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Kamishna MsaidAizi, Abdallah Zombe, baada ya mahakama kujiridhisha kuwa
hati ya kukatia rufaa hiyo ilikuwa na mapungufu
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK